IQNA

Qarii wa Iran akisoma Qur'ani Tukufu nchini Bangladesh + Video

21:16 - May 04, 2021
Habari ID: 3473875
TEHRAN (IQNA)- Qarii mashuhuri wa Iran, Sayyed Javad Hussein amewahi kualikwa maeneo mbali mbali duniani katika vikao vya Qur'ani Tukufu na moja ya nchi hizo ni Bangladesh.

Qarii Husseini alishika nafasi ya kwanza katika kategoria ya qiraa katika Mashindano ya 26 ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Iran.

Katika klipi hizi hapa chini anasoma Sura Ar-Rahman na Ad-Dhuha akiwa safarini nchini Bangladesh.

 

 

3474619/

captcha