iqna

IQNA

mashindano ya qurani
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Sherehe za kufunga mashindano ya kitaifa ya Qur'ani katika nchini Mali ilifanyika mapema wiki hii.
Habari ID: 3478357    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/15

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran
IQNA - Jopo la majaji wa Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran linajumuisha wataalamu wa Qur'ani kutoka taifa mwenyeji pamoja na nchi nyingine nane.
Habari ID: 3478354    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/15

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA –Raundi ya mwisho ya toleo la 8 la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani kwa wanafunzi wa shule za Kiislamu duniani itaanza mjini Tehran siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3478351    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kimataifa ya mabingwa katika kuhifadhi Qur'ani Tukufu na utamaduni wa Kiislamu yamepangwa kufanyika nchini Misri msimu huu wa kiangazi.
Habari ID: 3478346    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/13

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yalifanyika Vijayawada, Jimbo la Andhra Pradesh nchini India.
Habari ID: 3478340    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/12

Mashindano ya Qur'ani
Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Algeria watunukiwa IQNA –Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Algeria yalihitimishwa siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3478330    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/10

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la 7 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu na Ibtihal ya Port Said nchini Misri yalihitimishwa katika sherehe siku ya Jumanne. Washindi katika kategoria tofauti walitajwa na kutunukiwa katika hafla ya kufunga, tovuti ya Youm7 iliripoti.
Habari ID: 3478320    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07

IQNA - Qari mashuhuri wa Misri Mahmoud Shahat Anwar alikariri aya za 107-110 za Surah Al-Kahf katika sherehe za uzinduzi wa toleo la 7 Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Port Said.
Habari ID: 3478308    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/05

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Wakati duru ya mwisho ya Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran inakaribia, wakuu wa kamati za maandalizi ya tukio hilo la Qur'ani waliteuliwa.
Habari ID: 3478301    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/04

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Haram Takatifu ya Hadhrat Abbas (AS) katika mji wa Karbala nchini Iraq imetangaza tukio lake kubwa la Qur'ani, "Tuzo ya Kimataifa ya Al-Ameed ya Kuhifadhi Qur'ani," ambayo itafanyika kama mashindano ya televisheni yaliyo wazi kwa wasomaji kutoka nchi zote.
Habari ID: 3478296    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/03

Mashindano ya Qur'ani
IQNA-Toleo la 7 la tukio la kimataifa la Qur'ani linatarajiwa kufanyika Port Said, kaskazini mwa Misri, Februari 2-6.
Habari ID: 3478293    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/02

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Toleo la 24 la Mashindano ya Qur’ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yalihitimishwa katika hafla iliyofanyika mjini Dubai.
Habari ID: 3478252    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/25

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Seyed Abolfazl Aqdadsi, kijana mhifadhi Qur'ani Tukufu kutoka Iran, anaiwakilisha nchi yake katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Bangladesh.
Habari ID: 3478236    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/22

Elimu
IQNA – Toleo la 16 la Tamasha la Kimataifa la Qur'ani na Hadithi la Chuo Kikuu cha Al-Mustafa (SAW) limehudhuriwa na wanafunzi kutoka nchi 68.
Habari ID: 3478212    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/18

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Brunei yataanza Jumatano, Januari 17.
Habari ID: 3478200    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/16

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Waandaaji wa Awamu ya Tatu ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Meshkat wametangaza kanuni na vigezo vya kuwasilisha visomo vya qiraa ya Qur'ani iliyorekodiwa.
Habari ID: 3478196    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/14

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Usajili wa toleo la 17 la mashindano ya kila mwaka ya kimataifa ya Qur'ani yanayoandaliwa na Televisheni ya Al-Kawthar ulifunguliwa Jumatano iliyopita, sambamba na kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Hazrat Zahra (SA).
Habari ID: 3478168    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/08

Mashindano ya Qur'ani ya Meshkat
IQNA – Usajili umeanza kwa ajili ya Toleo la Tatu la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Meshkat, ambayo hufanyika mtandaoni chini ya usimamizi wa Taasisi ya Qur'ani ya Meshkat.
Habari ID: 3478122    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/31

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kila mwaka ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu huko Port Said, Misri, yataanza Februari 1, 2024.
Habari ID: 3478121    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/31

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA – Toleo la 40 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran, moja ya matukio ya kifahari na bora zaidi ya Qur'ani duniani, lilianza Jumamosi mjini Tehran kwa duru ya awali ya mchujo.
Habari ID: 3478120    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/31