Habari Maalumu
China yafunga duka la vitabu vya Kiislamu Beijing, mmiliki akamatwa

China yafunga duka la vitabu vya Kiislamu Beijing, mmiliki akamatwa

TEHRAN (IQNA)-Serikali ya China imefunga duka moja maarufu la vitabu vya Kiislamu na kumtia mbaroni mmiliki wa duka hilo kwa tuhuma za ugaidi.
11 Oct 2017, 14:12
Marekani inazuia kuangamizwa kikamilifu kundi la kigaidi la ISIS
Sayyed Hassan Nasrallah:

Marekani inazuia kuangamizwa kikamilifu kundi la kigaidi la ISIS

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani inazuia kuangamizwa kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh au ISIS...
10 Oct 2017, 11:19
Magaidi wa ISIS watimuliwa kutoka ngome yao ya mwisho Iraq

Magaidi wa ISIS watimuliwa kutoka ngome yao ya mwisho Iraq

TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Iraq limefanikiwa kuukomboa mji wa kistratijia wa Hawija ambao ulikuwa ngome kuu ya mwisho ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh...
06 Oct 2017, 23:08
Utawala wa Kizayuni unalenga kuunda 'Israel Mpya'
Kiongozi Muadhamu katika mkutano wa Rais wa Uturuki:

Utawala wa Kizayuni unalenga kuunda 'Israel Mpya'

TEHRAN (IQNA)-Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatano alionana na Rais Recep Tayyip Erdogan na ujumbe alioandamana...
05 Oct 2017, 10:37
Waislamu wa Madhehebu Shia waadhimisha Siku ya Tasu'a Duniani Kote

Waislamu wa Madhehebu Shia waadhimisha Siku ya Tasu'a Duniani Kote

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa madhehebu ya Shia kote duniani wanashiriki katika maadhimisho ya Siku ya Tasu'a, wakifanya maombelezo ya kukumbuka mapambano...
30 Sep 2017, 20:17
Msichana aliye na umri wa miaka 10 kuiwakilisha Iran mashindano ya Qur'ani ya UAE

Msichana aliye na umri wa miaka 10 kuiwakilisha Iran mashindano ya Qur'ani ya UAE

TEHRAN (IQNA)-Msichana mwenye umri wa miaka 10 ataiwakilisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Shaikha Fatima...
29 Sep 2017, 22:10
Mtume Muhammad SAW ni mwanzilishi wa hati ya kwanza ya kuheshimu dini za wengine duniani

Mtume Muhammad SAW ni mwanzilishi wa hati ya kwanza ya kuheshimu dini za wengine duniani

TEHRAN (IQNA)-Mtafiti mmoja nchini Misri amesema mkataba aliofunga Bwana Mtume Muhammad SAW na Wakristo ni hati ya kwanza kuhusiana na kuheshimu dini tofauti...
28 Sep 2017, 11:47
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ashiriki katika kuuaga mwili wa shahidi Hojaji

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ashiriki katika kuuaga mwili wa shahidi Hojaji

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amekwenda katika Msikiti wa Imam Husain AS hapa Tehran na kuusomea Faatiha mwili mtoharifu wa...
27 Sep 2017, 13:14
Waislamu Tanzania katika maombolezo ya Imam Hussein AS+PICHA

Waislamu Tanzania katika maombolezo ya Imam Hussein AS+PICHA

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wanajumuika katika Msikiti wa Al Ghadir mjini Dar es Salaam nchini Tanzania kwa ajili ya maombolezo ya kuuawa Imam Hussein AS katika...
26 Sep 2017, 10:18
Ufalme wa kiimla Bahrain walaaniwa kwa kukandamiza maombolezo ya Muharram

Ufalme wa kiimla Bahrain walaaniwa kwa kukandamiza maombolezo ya Muharram

TEHRAN (IQNA) Jumuiya ya Kiislamu ya Maelewano ya Kitaifa ya Bahrain (Al Wefaq) imelaani hatua ya vikosi vya usalama kuhujumu madhihirisho ya Ashura na...
24 Sep 2017, 09:51
Bomu la Marekani lilitumiwa na kuangamiza raia nchini Yemen
Amnesty International

Bomu la Marekani lilitumiwa na kuangamiza raia nchini Yemen

TEHRAN (IQNA)-Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International wamesema kuwa, bomu lililoua raia 16 wa Yemen wakiwemo watu wote wa familia...
23 Sep 2017, 15:24
Picha