iqna

IQNA

Uyahudi
TEHRAN (IQNA)- Wazayuni wameshindwa kubatilisha uamuzi wa mahakama ya Uingereza ambaye imekataa kumfungulia mashtaka mwanaharakati wa Palestina kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds mjini London mwaka 2017.
Habari ID: 3471807    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/15