iqna

IQNA

mabomu
TEHRAN (IQNA) –Wayemen wamelaani muungaji wa kivita unaaongozwa na Saudia kwa kutumia mabomu vya vishada dhidi ya eneo la makazi ya raia katika mji mkuu, Sana’a na kupelekea familia moja kujeruhiwa vibaya.
Habari ID: 3472857    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/11

Amnesty International
TEHRAN (IQNA)-Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International wamesema kuwa, bomu lililoua raia 16 wa Yemen wakiwemo watu wote wa familia ya mtoto Buthaina aliyenusurika shambulizi hilo, lilitengenezwa nchini Marekani.
Habari ID: 3471187    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/23

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeikosoa vikali Saudi Arabia kwa kuwalenga kwa makusudi watoto kupitia udondoshaji mabomu kiholela katika vita vyake dhidi ya Yemen.
Habari ID: 3462043    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/11

Saudi Arabia inaishambulia Yemen kwa mabomu yaliyopigwa marufuku. Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kuna ushahidi kuwa Saudia imetumia mabomu yaliyopigwa marufuku katika hujuma zake za angani dhidi ya maeneo ya raia nchini Yemen. Mabomu hayo ya vishada yametengenezwa nchini Marekani.
Habari ID: 3251579    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/04