Habari Maalumu
IQNA – Mkusanyiko wa turathi za kitamaduni na kazi binafsi za Qur’an za Marehemu Sheikh Farajullah Shazli, mmoja wa maqari mashuhuri wa Misri, umewasilishwa...
16 Aug 2025, 15:43
IQNA – Raundi ya mwisho ya Mashindano ya 45 ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma, na Kufasiri Qur’ani Tukufu imemalizika Alhamisi katika...
15 Aug 2025, 21:04
IQNA – Wizara ya Wakfu na Mambo ya Kiislamu ya Morocco imetangaza mpango mkubwa wa miaka mitatu wa kuwapa mafunzo mapya maimamu 48,000 wa misikiti kote...
15 Aug 2025, 20:57
IQNA – Uwezo wa kiustaarabu na wa kujenga taifa ulio ndani ya matembezi n a ziyara yakila mwaka ya Arbaeen unazidi kudhihirika kadiri siku zinavyosonga,...
15 Aug 2025, 20:46
IQNA – Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq imetangaza kuwa wafanyaziara wa kigenizaidi ya milioni 4.1 wameshiriki katika ziara ya mwaka huu ya Arbaeen.
15 Aug 2025, 20:31
IQNA – Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri amesisitiza umuhimu wa kuendeleza tovuti ya kimataifa ya Idhaa ya Qur’an Tukufu ya nchi hiyo.
15 Aug 2025, 20:16
IQNA-Mamilioni ya Waislamu kutoka pembe mbalimbali za dunia wamekusanyika katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq kuadhimisha Arbaeen au Arubaini ya...
14 Aug 2025, 22:51
IQNA – Katika ziara ya Arbaeen, Waislamu hukusanyika kwa mshikamano ili kufikisha ujumbe wa pamoja wa kusimama imara na kudai haki, amesema afisa wa Kiirani.
14 Aug 2025, 23:09
IQNA – Kamati Kuu ya Iraq ya Uratibu wa Wafanyaziyara Mamilioni imetangaza kuwa hadi sasa hakuna ukiukaji wowote wa usalama ulioripotiwa wakati wa matembezi...
14 Aug 2025, 00:05
IQNA – Jukwaa la Kielimu la Qur’ani Tukufu, linalohusiana na Astan (uwakilishi wa ulinzi na usimamizi) wa Haram ya Hazrat Abbas (AS), linaandaa programu...
13 Aug 2025, 23:54
IQNA – Shughuli za kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) zimezinduliwa rasmi Jumatatu katika mji mkuu wa Yemen, Sana’a.
13 Aug 2025, 23:46
IQNA – Mwanamke mchanga Muislamu aliyevaa hijaab ameshambuliwa na kutishiwa maisha ndani ya basi la jiji la Ottawa, Canada eneo la Kanata, katika tukio...
13 Aug 2025, 23:36
IQNA – Mashindano ya 11 ya Kimataifa ya Arbaeen yametangaza rasmi mwaliko wa ushiriki katika nyanja mbalimbali za sanaa na fasihi.
13 Aug 2025, 23:21
IQNA – Pendekezo la kutangaza Adhana mara moja kwa wiki kutoka Msikiti wa Lakemba limekataliwa na baraza la eneo hilo, lakini viongozi wa jamii wamesema...
13 Aug 2025, 00:01
IQNA – Mashirika 14 ya Kiislamu nchini Uholanzi yamewasilisha malalamiko ya jinai dhidi ya mwanasiasa wa mrengo mkali wa kulia na anayepinga Uislamu, Geert...
12 Aug 2025, 23:52
IQNA – Ayatullah Ali al-Sistani amewataka wafanyaziyara wa Arbaeen kudumisha swala kwa wakati, ikhlasi ya moyo na na mavazi ya heshima na yenye staha katika...
12 Aug 2025, 23:40