Msomaji Maarufu wa Qur;ani
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Mahmoud Khalil al-Hussary alikuwa Qari aliyesifiwa sana kwa usomaji wake sahihi wa Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3477941 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/24
TEHRAN (IQNA) – Televisheni ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi karibuni ilirusha hewani qiraa ya qarii wa Misri marhuma Sheikh Khalil Al-Hussary.
Habari ID: 3473459 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/15