IQNA

Qari na Muadhini wa Msikiti wa Al‑Aqsa afariki dunia

Qari na Muadhini wa Msikiti wa Al‑Aqsa afariki dunia

IQNA – Qari na Muadhini wa Msikiti wa Al‑Aqsa katika al‑Quds (Jerusalem) ameaga dunia baada ya maisha marefu ya ibada katika Qibla cha kwanza cha Waislamu.
19:18 , 2025 Dec 14
Makundi ya haki za binadamu, wakazi walaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur’ani Texas

Makundi ya haki za binadamu, wakazi walaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur’ani Texas

IQNA – Kitendo cha kudhalilisha na kuivunjia heshima Qur’ani Tukufu kilichotokea mjini Plano, jimbo la Texas, Marekani, kimezua hasira kubwa miongoni mwa wananchi na mashirika ya haki za binadamu.
19:14 , 2025 Dec 14
I.M.A.M.: Muhtasari wa Taasisi ya Waislamu wa Kishia Amerika Kaskazini

I.M.A.M.: Muhtasari wa Taasisi ya Waislamu wa Kishia Amerika Kaskazini

IQNA – Katika jiji la Dearborn, Michigan, kuna taasisi ya Kishia iliyodumu kwa miaka mingi, ikifanya kazi kimya kimya bila makuu, lakini ikiwa na athari kubwa katika jamii.
19:10 , 2025 Dec 14
Sheikh Abdul Wahid Radhi: Qari Mashuhuri wa Misri aliyetambulika kwa unyenyekevu katika qiraa

Sheikh Abdul Wahid Radhi: Qari Mashuhuri wa Misri aliyetambulika kwa unyenyekevu katika qiraa

IQNA – Marehemu Sheikh Abdul Wahid Zaki Radhi alikuwa miongoni mwa magwiji wa usomaji wa Qur’ani nchini Misri, akijulikana kwa unyenyekevu wake katika tilawa, uzuri wa makam na sauti yenye utulivu na mvuto wa kiroho.
19:03 , 2025 Dec 14
Marufuku ya Hijabu kwa wasichana wadogo Austria yazua lawama za chuki dhidi ya Uislamu

Marufuku ya Hijabu kwa wasichana wadogo Austria yazua lawama za chuki dhidi ya Uislamu

IQNA – Sheria mpya inayowazuia wasichana walio chini ya miaka 14 kuvaa hijabu katika shule za Austria imeibua upinzani mkali, huku makundi ya kutetea haki za binadamu yakishutumu serikali kwa kuwadhalilisha Waislamu na kuingilia uhuru wa imani binafsi.
16:41 , 2025 Dec 13
Mwandishi Mkristo: Bibi Zahra (SA) Ni Kielelezo Kamili cha Fadhila

Mwandishi Mkristo: Bibi Zahra (SA) Ni Kielelezo Kamili cha Fadhila

IQNA – Mwandishi Mkristo kutoka Lebanon amemwelezea Bibi Fatima Zahra (SA) kuwa kielelezo kamili cha fadhila, akisema kuwa yeye ndiye nguzo ya imani na heshima ya mwanamke.
16:35 , 2025 Dec 13
Mashindano ya 26 ya Qur’ani ya Sheikha Hind bint Maktoum Yakamilika

Mashindano ya 26 ya Qur’ani ya Sheikha Hind bint Maktoum Yakamilika

IQNA- Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai (DIHQA) imetangaza kukamilika kwa Mashindano ya 26 ya Qur’ani ya Sheikha Hind bint Maktoum.
16:27 , 2025 Dec 13
Mkuu wa RTVE Uhispania amkosoa Mkurugenzi wa Eurovision kwa ukimya Kuhusu Gaza

Mkuu wa RTVE Uhispania amkosoa Mkurugenzi wa Eurovision kwa ukimya Kuhusu Gaza

IQNA – Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Umma nchini Uhispania (RTVE), José Pablo López, amemkemea Mkurugenzi wa Mashindano ya Muziki ya Eurovision kwa barua yake ya wazi kwa mashabiki ambayo haikutaja Gaza wala utawala wa Israel, akisema hatua hiyo ni “kushindwa” wakati mashindano hayo yanapitia mgogoro mkubwa wa kiheshima.
16:22 , 2025 Dec 13
Hoja za Qur'ani za Bibi Fatima Zahra (SA) ni kielelezo kwa Waislamu wote

Hoja za Qur'ani za Bibi Fatima Zahra (SA) ni kielelezo kwa Waislamu wote

IQNA-Profesa mmoja wa chuo kikuu kutoka Algeria amesema kuwa hoja za Qur'ani Tukufu alizotumia Bibi Fatimah Zahra (SA) katika kutetea misingi ya haki na uadilifu ni kielelezo cha vitendo ambacho Waislamu wote wanapaswa kukifuata.
11:37 , 2025 Dec 12
Al-Azhar yawaenzi dada watatu Wamisri waliohifadhi Qur'ani

Al-Azhar yawaenzi dada watatu Wamisri waliohifadhi Qur'ani

IQNA-Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar katika mkoa wa Aswan, Misri, kimewatunuku zawadi na heshima maalumu dada watatu Wamisri waliokamilisha kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
11:29 , 2025 Dec 12
Wakaazi wasafisha Msikiti uliohujumiwa Virginia Marekani

Wakaazi wasafisha Msikiti uliohujumiwa Virginia Marekani

IQNA-Jamii ya wakazi na majirani wa jiji la Norfolk, jimbo la Virginia nchini Marekani, wamejitokeza kwa wingi kusafisha na kurejesha hadhi ya Msikiti wa Masjid Ash Shura baada ya kuchafuliwa kwa maandishi ya chuki, huku polisi wakiomba msaada wa umma kumtambua mtuhumiwa.
11:22 , 2025 Dec 12
Kiongozi wa  Ansarullah alaani ukatili unaofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wanawake wa Palestina

Kiongozi wa Ansarullah alaani ukatili unaofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wanawake wa Palestina

IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen, Abdul‑Malik al‑Houthi, amelaani vikali ukatili unaofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wanawake wa Palestina, akisema maelfu ya wanawake—akiwemo wajawazito, wasichana wadogo na wazee—wameuawa katika maeneo yote yanayokaliwa kwa mabavu.
11:17 , 2025 Dec 12
Mashindano ya Qur'ani Tukufu Oman Yatangaza Washindi

Mashindano ya Qur'ani Tukufu Oman Yatangaza Washindi

IQNA – Washindi wa juu wa Mashindano ya 33 ya Qur'ani Tukufu ya Sultan Qaboos nchini Oman wametangazwa rasmi.
11:11 , 2025 Dec 12
Imam Khamenei: Iran inasonga mbele licha ya kukabiliwa na mapungufu mengi

Imam Khamenei: Iran inasonga mbele licha ya kukabiliwa na mapungufu mengi

IQNA- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapiga hatua na kusonga mbele licha ya kukabiliwa na mapungufu mengi.
20:49 , 2025 Dec 11
Ripoti: Mufti wa zamani wa Syria ahukumiwa kifo

Ripoti: Mufti wa zamani wa Syria ahukumiwa kifo

IQNA – Baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kuwa Sheikh Badreddin Hassoun, aliyewahi kuwa Mufti Mkuu wa Syria katika utawala wa Bashar al-Assad, amehukumiwa adhabu ya kifo.
15:08 , 2025 Dec 11
1