IQNA

Mashindano ya Kitaifa ya Usomaji Qur’ani Yazinduliwa Algeria

Mashindano ya Kitaifa ya Usomaji Qur’ani Yazinduliwa Algeria

IQNA – Toleo la 21 la mashindano ya kitaifa ya Qur’ani Tukufu nchini Algeria limeanza rasmi Jumatatu.
20:05 , 2025 Dec 02
Papa asikiliza Biblia na Qur’ani katika mkutano wa kidini Beirut

Papa asikiliza Biblia na Qur’ani katika mkutano wa kidini Beirut

IQNA – Papa Leo XIV amehudhuria mkutano wa dini mbalimbali uliofanyika katika Uwanja wa Mashahidi jijini Beirut, ambapo walikusanyika mapatriaki wa Kikristo wa Lebanon pamoja na viongozi wa Kiroho wa Kiislamu wa madhehebu ya Sunni na Shia na halikadhalika dini ya Druze chini ya hema moja.
20:02 , 2025 Dec 02
Misri yaunda kamati ya kufuatilia utendaji wa makari wa Qur’ani

Misri yaunda kamati ya kufuatilia utendaji wa makari wa Qur’ani

IQNA – Umoja wa Makari na Wahifadhi wa Qur’ani Tukufu nchini Misri umetangaza kuundwa kwa kamati maalum itakayoshughulikia ufuatiliaji wa utendaji wa makari na kushughulikia malalamiko yanayohusu usomaji wao.
19:56 , 2025 Dec 02
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Kenya yaanza

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Kenya yaanza

IQNA – Fainali ya mashindano ya kimataifa kuhifadhi Qur’ani kwa wanaume imeanza leo jijini Nairobi, Kenya.
14:58 , 2025 Dec 01
Qari wa Malaysia Aiman Ridhwan ashinda Mashindano ya Kwanza ya Kimataifa ya Qur’ani Nchini Pakistan

Qari wa Malaysia Aiman Ridhwan ashinda Mashindano ya Kwanza ya Kimataifa ya Qur’ani Nchini Pakistan

IQNA – Aiman Ridhwan Bin Mohammad Ramlan kutoka Malaysia ameibuka mshindi wa kwanza katika Mashindano ya Kwanza ya Kimataifa ya Qira’at yaliyofanyika mjini Islamabad, Pakistan.
12:43 , 2025 Dec 01
Al-Azhar yaonya kuhusu magaidi wa Daesh kutumia Akili Mnemba kuvutia wafuasi

Al-Azhar yaonya kuhusu magaidi wa Daesh kutumia Akili Mnemba kuvutia wafuasi

IQNA – Kituo cha Al-Azhar cha Kupambana na Mielekeo ya Ugaidi kimeeleza wasiwasi wake kuhusu matumizi ya teknolojia ya Akili Mnemba (AI) na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) kwa madhumuni ya kuajiri wafuasi wapya.
12:38 , 2025 Dec 01
Waziri wa Ndani wa Ufaransa apinga marufuku mpya ya Hijabu kwa watoto

Waziri wa Ndani wa Ufaransa apinga marufuku mpya ya Hijabu kwa watoto

IQNA – Waziri wa Ndani wa Ufaransa amepinga jaribio jipya la kupiga marufuku Hijabu kwa wasichana wadogo katika maeneo ya umma, akionya kuwa mpango huo unaweza kuwalenga kwa dhulma vijana Waislamu.
11:48 , 2025 Dec 01
Klipu | Deni kuwa ni sadaka

Klipu | Deni kuwa ni sadaka

IQNA- Katika dunia ya leo yenye pilika pilika nyingi na mwendo wa haraka, wakati mwingine tunahitaji kusimama kwa muda mfupi na kupata utulivu. Mfululizo wa "Sauti ya Wahyi" kwa kuchagua baadhi ya aya kwenye Qur'ani Tukufu na sauti ya kupendeza ya Ustadh Behrouz Razawi, ni mwaliko wa safari ya kiroho na yenye kuinua roho. Mfululizo huu mfupi lakini wenye maudhui ya kina, unawaletea nyakati za utulivu na matumaini.
11:28 , 2025 Dec 01
Spika wa Bunge la Lebanon amkabidhi Papa Nakala ya Qur’ani Tukufu

Spika wa Bunge la Lebanon amkabidhi Papa Nakala ya Qur’ani Tukufu

IQNA – Spika wa Bunge la Lebanon, Nabih Berri, amemkabidhi nakala ya Qur’ani Tukufu Papa Leo XIV, katika kikao chake na kiongozi wa Kanisa Katoliki aliyeko ziarani nchini humo.
09:48 , 2025 Dec 01
Picha: Kituo cha Metro cha Maria Mtakatifu chafunguliwa Tehran

Picha: Kituo cha Metro cha Maria Mtakatifu chafunguliwa Tehran

IQNA – Kituo cha metro (treni ya chini ya ardhi) cha Maryam-e Moghaddas (Bikira Maria Mtakatifu) kimezinduliwa rasmi tarehe 29 Novemba 2025 jijini Tehran. Ndani ya kituo kipya, wageni wanakutana na kazi za sanaa zenye maudhui ya Kikristo na taswira ya Bikira Maria, pamoja na vipengele vya kimaono na vya usanifu vilivyochochewa na miundo ya makanisa na kuchanganywa na mitindo ya Kipersia.
15:55 , 2025 Nov 30
Tamasha la 19 la Kimataifa la Filamu za Muqawama (Mapambano)

Tamasha la 19 la Kimataifa la Filamu za Muqawama (Mapambano)

IQNA-Tamasha la 19 la Kimataifa la Filamu za Muqawama au Mapambano litafanyika kuanzia Mei 17–23, 2026, mjini Tehran na mikoa mingine ya Iran.
15:49 , 2025 Nov 30
Msikiti Mkuu wa Algiers kupokea wanafunzi wa kimataifa wa shahada ya uzamivu

Msikiti Mkuu wa Algiers kupokea wanafunzi wa kimataifa wa shahada ya uzamivu

IQNA-Msikiti Mkuu wa Algiers umetangaza utayari wa kupokea wanafunzi wa kimataifa wa shahada ya uzamivu (PhD) katika Shule ya Juu ya Sayansi za Kiislamu (Dar-ul-Quran).
15:43 , 2025 Nov 30
 Hizbullah yamtaka Papa Leo kulaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon

 Hizbullah yamtaka Papa Leo kulaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon

IQNA – Harakati ya mapambano ya Hizbullah nchini Lebanon imemtaka Kiongozi wa Kanisa Katoliki kulaani ukiukaji wa makubaliano ya kusitisha vita na mashambulizi ya Israel dhidi ya taifa hilo la Kiarabu.
15:28 , 2025 Nov 30
Profesa Mashuhuri wa Lyon aliyetarjumu Qur'ani Tukufu

Profesa Mashuhuri wa Lyon aliyetarjumu Qur'ani Tukufu

IQNA – Mohamed Ameur Ghedira alikuwa profesa mashuhuri katika Chuo Kikuu cha Lyon aliyetarjumu Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kifaransa.
15:22 , 2025 Nov 30
Nakala za Qur'ani 5,000 zasambazwa katika Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu Kuwait

Nakala za Qur'ani 5,000 zasambazwa katika Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu Kuwait

IQNA – Wageni wa Maonyesho ya 48 ya Vitabu Kimataifa mjini Kuwait wamepewa zawadi ya nakala zaidi ya 5,000 za Qur'ani Tukufu. Banda la Wizara ya Mambo ya Kiislamu ya Saudi Arabia limesambaza nakala hizo, kwa mujibu wa taarifa ya Al-Madinah.
14:57 , 2025 Nov 30
5