IQNA – Kufuatia kuongezeka kwa vitendo vya ujambazi na vurugu, Serikali ya Jimbo la Kano nchini Nigeria imeandaa kikao cha dua maalum mwishoni mwa wiki, ikiwakusanya Maqari au wasomaji wa Qur’ani Tukufu wapatao 4,444 kuomba msaada wa Mwenyezi Mungu kwa ajili ya amani na usalama katika jimbo lote na nchi zima kwa ujumla.
15:40 , 2025 Dec 09